Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Serikali kubuni vyanzo vipya kusaidia upatikanaji wa Umeme
IRINGA: Serikali imesema itaongeza upatikanaji wa gesi ili kufidia hali ya upungufu wa umeme nchini unaochangiwa na upungufu wa maji…
Soma Zaidi » -
Ubalozi wa Uswidi nchini wazindua lori la gesi asilia
DAR ES SALAAM: KATIKA kuadhimisha miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Uswidi, Ubalozi wa Uswidi nchini umezindua kampeni…
Soma Zaidi » -
TPDC: Uzalishaji gesi Mnazi Bay unaendelea
MTWARA; SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limekanusha taarifa kuwa visima vitano vya kuzalisha gesi asilia katika Kitalu cha…
Soma Zaidi » -
Waziri Mkuu aitaka PURA kuharakisha mchakato kunadi vitalu
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuharakisha mchakato wa kunadi vitalu vya…
Soma Zaidi » -
Majaliwa: Tanzania kuwa wazalishaji wakubwa wa Nishati
DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania…
Soma Zaidi » -
“Lindi, Mtwara tunatarajia mradi mkubwa wa gesi”
MTWARA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema barabara na miundombinu yote ambayo itahusika na mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia…
Soma Zaidi » -
Mbunge agawa mitungi 300 ya Gesi kwa makundi mbalimbali
KAGERA, Bukoba,Mbunge wa Viti maalum kupitia asasi zisizo za kiserikali NGO,s Neema Lugangira amezindua Kampeni ya “Pika kwa Gesi, tunza…
Soma Zaidi » -
TPDC kuongeza tija uzalishaji gesi
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kukarabati kisima namba moja cha kuzalisha gesi asilia Mnazi Bay, mkoani Mtwara, …
Soma Zaidi » -
PURA yaandaa ‘mwarobaini’ ukosefu wa vyeti vya usalama miradi ya mafuta, gesi
Mkuu wa Kitengo cha ushirikishwaji wa wazawa na uhusishwaji wa wadau kutoka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli…
Soma Zaidi » -
Mkurugenzi PURA azuru shule ya msingi Likong’o kujionea utekelezaji wa CSR
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Sangweni ametembelea Shule ya Msingi ya Likong’o…
Soma Zaidi »