Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania yatwaa ushindi wa kidijitali duniani

DAR-ES-SALAAM : SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya…

Soma Zaidi »

Wakadiriaji Majenzi waaswa mabadiliko ya teknolojia

DODOMA; WAKADIRIAJI Majenzi nchini wametakiwa kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia duniani, hatua itakayoongeza ushindani na…

Soma Zaidi »

Majaliwa asema teknolojia mpya si tishio, bali fursa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amevitaka vyama vya wafanyakazi Afrika kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani. Aidha, aliainisha…

Soma Zaidi »

DC Lindi aipongeza YST hamasa masomo ya sayansi

LINDI; SERIKALI ya Mkoa wa Lindi imesema inafurahishwa na kuunga mkono Taasisi ya Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST) kwa kuandaa maonesho…

Soma Zaidi »

Vodacom inavyochochea mageuzi ya kidijitali kupitia ukuaji, matumizi ya data

Dar es Salaam: Vodacom Tanzania imeripoti ongezeko kubwa la matumizi ya data katika mtandao wake kwa mwaka wa fedha ulioishia…

Soma Zaidi »

Namna StartHub Africa inavyowainua vijana wa Kitanzania kupitia ujasiriamali

Dar es Salaam: Shirika la kusaidia wajasiriamali, StartHub Africa, limeendelea kuongeza juhudi za kuwapatia vijana wa Kitanzania ujuzi, ushauri na…

Soma Zaidi »

Teknolojia za kisasa kuongeza tija uzalishaji mazao

MOROGORO: WAKULIMA wameshauriwa kutumia mbinu bora za Kilimo ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi, ikiwemo kilimo hifadhi kinacholinda…

Soma Zaidi »

Wazazi wafundwa matumizi ya teknolojia kwa vijana

SHINYANGA: Wazazi mkoani Shinyanga wameshauriwa kutochoka kufundisha matumizi mazuri ya teknolojia yanayoendelea kuwepo na kuepukana na matumizi ya dawa ya…

Soma Zaidi »

Serikali Mtandao wapongezwa kuchangia mapinduzi kilimo

DODOMA; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Athumani Kilundumya, ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuchangia mapinduzi katika sekta ya…

Soma Zaidi »

Acer yajikita kwenye vifaa vya teknolojia Afrika Mashariki

DAR ES SALAAM: ULIMWENGU wa teknolojia umeendelea kuibua mbinu na vifaa vipya ili kuruhusu dunia kutambua thamani na ukubwa wa…

Soma Zaidi »
Back to top button