Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Majaliwa ateta na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia,…

Soma Zaidi »

Wabunge wahimiza uandaaji wa sera jumuishi za akili mnemba

DODOMA: WABUNGE wanawake wametoa wito kwa serikali kuharakisha mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa sera jumuishi na zenye kuzingatia usawa…

Soma Zaidi »

Vyuo vikuu vyashauriwa kuzingatia ubunifu, teknolojia

MOROGORO.: WIZARA ya Viwanda na Biashara imevishauri vyuo vikuu nchini kuhakikisha vinaandaa wanafunzi kuwa wabunifu kuendana na kasi ya ukuaji…

Soma Zaidi »

TRA, SICPA wauangana kutoa mafunzo utendaji mfumo wa Smart DAS

DAR ES SALAAM: Katika juhudi endelevu za kuboresha usimamizi wa kodi na kuongeza uzingatiaji miongoni mwa wazalishaji wa bidhaa zinazotozwa…

Soma Zaidi »

Ripoti ya TSA mfumo ikolojia uwekezaji wakua

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Tanzania Startup Association (TSA) limezindua leo Aprili 28 limezindua ripoti ya mfumo ikolojia nchini ya…

Soma Zaidi »

Mizimu yatumika kukatisha masomo wasichana, kuwaozesha Kwimba

MWAMKO mdogo wa elimu kwa wazazi waishio wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, umekuwa kikwazo kwa watoto wa kike kuendelea na…

Soma Zaidi »

Ustawi wa jamii watakiwa kutatua changamoto kidijitali

DAR ES SAALAM: KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk John Jingu amewataka…

Soma Zaidi »

Tanzania yaorodheshwa Daraja la Kwanza miongoni mwa nchi 46 duniani ulinzi wa kimtandao

ARUSHA: USALAMA na uaminifu katika masuala ya kidijitali yametajwa kuwa msingi katika ujenzi wa uchumi wa kidijitali dhidi ya changamoto…

Soma Zaidi »

Rifaly, Stanbic wawapiga jeki waunda maudhui

DAR ES SALAAM: Rifaly, kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania, leo wameandaa tukio la pili la ‘Creators Day’, likiwa…

Soma Zaidi »

TCRA yaanza kuziba pengo la wasichana kwenye TEHAMA

DAR ES SALAAM: amlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeanza kwa kishindo maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika TEHAMA…

Soma Zaidi »
Back to top button