Bunge

Buriani Jenista Mhagama 1967 – 2025

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa Spika…

Soma Zaidi »

Buriani Mwalimu Jenista Mhagama

WILAYANI Peramiho mkoani Ruvuma ndipo safari ya Jenista Joackim Mhagama ilipoanzia, tarehe 23 Juni 1967 alipozaliwa. Kisha safari yake ikahamia…

Soma Zaidi »

Spika Zungu afungua mafunzo kwa wabunge

DODOMA; Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amefungua Mafunzo kwa Wabunge leo Novemba 17, 2025 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya…

Soma Zaidi »

Wabunge wasema hotuba imesheheni maono ya Tanzania bora

WABUNGE wamepongeza hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuzindua bunge, kwamba imeonesha matumaini mapya ya Tanzania ijayo tajiri na…

Soma Zaidi »

Lengo ifikapo 2030 watalii mil 8

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza ukuaji kilimo hadi 10%

SERIKALI katika miaka mitano ijayo, inakusudia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta za uzalishaji, ikianza kilimo lengo llikiwa kuongeza kasi ya…

Soma Zaidi »

Tume kuchunguza vurugu Oktoba 29

DODOMA: RAIS, Dk 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amesema Serikali imeunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 wakati wa Uchaguzi…

Soma Zaidi »

Samia aagiza viongozi kuwajibika kwa wananchi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza viongozi serikali kwa ngazi zote nchini kuanzia mawaziri hadi maafisa tarafa kuwa karibu na wananchi…

Soma Zaidi »

Ndoinyo aahidi kutekeleza ahadi zake zote

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo ameahidi kutekeleza ahadi zote alizoahidi kwa wananchi wa jimbo hilo.…

Soma Zaidi »

Bunge Kuthibitisha Waziri Mkuu Kesho

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho, Novemba 13, 2025, Bunge litakuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button