Bunge

Mabadiliko yaja kuipa mamlaka kamili NEMC

DODOMA: OFISI ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ipo mbioni kuwasilisha muswada wa mabadiliko ya sheria ya Baraza la…

Soma Zaidi »

‘Bureau de change’ zilizofungwa sasa kufunguliwa

DODOMA: Serikali ipo mbioni kufungulia maduka ya kubadilisha fedha nchini (Bureau de change), ambayo yalifungiwa mwaka 2016 kutokana na tuhuma…

Soma Zaidi »

‘Wabunge hawajapandishwa mshahara’

DODOMA: OFISI ya Bunge, kitengo cha mawasiliano imekanusha taarifa za wabunge kuongezewa mishahara kutoka Sh milioni 13 hadi 18. Taarifa…

Soma Zaidi »

Vijana wanufaika mradi wa bomba la mafuta

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema mradi wa bomba la mafuta ghafi kwa upande wa…

Soma Zaidi »

“Hatujaridhika na urejeshaji fedha za mikopo ya KKK”

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imesema haijaridhishwa na urejeshaji mikopo ya fedha za mradi wa…

Soma Zaidi »

Halmashauri ya Mbulu yatakiwa kutekeleza maagizo ya LAAC

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu kufanyia kazi…

Soma Zaidi »

Kamati yampongeza Samia kufufua chuo ufundi stadi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufufua Chuo cha…

Soma Zaidi »

Wapongeza Sh bilioni 3.5 kutumika uzalishaji vifaranga vya samaki

KINGOLWIRA, Morogoro: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Utawala , Katiba na Sheria imeipongeza Serikali kwa kutoa fedha zaidi ya…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Rufaa Katavi

DODOMA: SERIKALI imetenga Sh bilioni 5 katika mwaka wa fedha 2023/2024 kuendelea na ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…

Soma Zaidi »

Mbunge alia na mabilioni ya wamachinga

DODOMA; Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Saidi Lulida (CCM), amehoji fedha zinazokusanywa za wamachinga zinakwenda wapi na kuongeza kuwa mpaka…

Soma Zaidi »
Back to top button