Bunge

‘Tutapambana kuhakikisha mifumo hospitali isomane’

WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema wizara yake itapambana kuhakikisha mifumo ya vipimo vinavyofanywa kwa wagonjwa visomane katika hospitali zote…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji mkakati afya bure kama ilivyo elimu

DODOMA; MBUNGE wa Donge, Soud Mohammed Jumah, amehoji bungeni, serikali ina  mkakati gani kuweka huduma za afya bure kama ilivyo…

Soma Zaidi »

Serikali: Jukumu la kupandisha vyeo watumishi ni la mwajiri

DODOMA; SERIKALI imesema jukumu la kuwapandisha vyeo watumishi ni la mwajiri husika. Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Shule 20,509 za msingi zina vyanzo vya maji vya uhakika

DODOMA; SERIKALI imesema kuwa shule 5,311 za Sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika, huku pia shue  20,509 za msingi…

Soma Zaidi »

NIMR yaja na utafiti wenye virusi vya Ukimwi, kisukari

DODOMA; TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imeendelea na utafiti wa kuzuia ugonjwa wa kisukari, ambapo…

Soma Zaidi »

Wagonjwa wa kisukari wapungua

TAKWIMU za utafiti na ufuatiliaji wa viashiria hatarishi vya magonjwa yasiyoambukiza uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa…

Soma Zaidi »

Kuna ongezeko kubwa la unene

DODOMA; Serikali imesema kumekuwa na ongezeko la hali ya unene na unene uliokithiri. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini Dodoma leo…

Soma Zaidi »

Vituo 73 vyasajiliwa huduma kuchuja damu

DODOMA; SERIKALI imesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 jumla ya vituo 73 vimesajiliwa kutoa huduma ya kuchuja damu katika mikoa…

Soma Zaidi »

Asilimia 15 Watanzania wanaishi na vinasaba selimundu

DODOMA; SERIKALI imesema Tanzania ni miongoni mwa nchi tano duniani zinazoongoza kwa idadi kubwa ya ugonjwa wa selimundu, ambapo asilimia…

Soma Zaidi »

Wizara ya Afya yaja na vipaumbele 10

WIZARA ya Afya imeainisha Vipaumbele kumi (10) vitakavyotekelezwa kwa mwaka 2025/26 , Bunge limeelezwa. Akiwasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya…

Soma Zaidi »
Back to top button