Chaguzi

Tanzania, Qatar zakubaliana vyeti vya mabaharia

LONDON; Serikali ya Tanzania na Serikali ya Qatar zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kutambuliana vyeti vya mabaharia katika hafla…

Soma Zaidi »

Dk. Mwigulu akagua uharibifu wa vurugu

WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 24, 2025, amekagua miundombinu na mali zilizoharibiwa kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi awateua makatibu wakuu

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amefanya uteuzi wa makatibu wakuu…

Soma Zaidi »

Tuipe ushirikiano Tume ya Uchunguzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua na kuizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi apokea kitabu cha kampeni Uchaguzi Mkuu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amepokea Kitabu Maalumu chenye mkusanyiko wa habari picha…

Soma Zaidi »

Mchakamchaka nafasi za umeya CCM waanza

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinafunga pazia la kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya meya, naibu meya na wenyeviti wa…

Soma Zaidi »

Tume Uchunguzi vurugu Oktoba 29 yazinduliwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliotokea wakati na baada ya…

Soma Zaidi »

Samia aunda Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 3 cha…

Soma Zaidi »

Uteuzi wa Madiwani Vitimaalum Wakamilika 99%

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukamilisha uteuzi wa Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu 1,385 kati ya 1,387…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi amuapisha Makamu wa Pili

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button