Chaguzi

NLD yaahidi kupitia upya mikataba ya madini

MONDULI, Arusha: MGOMBEA urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameendelea na ziara zake za kampeni  ambapo alipokuwa Arusha,…

Soma Zaidi »

Masoud aahidi kutatua tatizo la ajira

ZANZIBAR: MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Act Wazalendo Othman Masoud Othman akienda kutafuta kura katika Kisiwa kidogo cha Kojani Mkoa…

Soma Zaidi »

Samia aahidi neema kwa wachimbaji madini

RUVUMA : MGOMBEA  wa kiti cha rais, kupitia Chama cha Mapinduzi, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendelea kutoa kipaumbele uchimbaji…

Soma Zaidi »

Nchimbi aahidi kumaliza kero ya barabara

LUDEWA : MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia CCM 🇹🇿, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi neema kubwa kwa wakazi wa Ludewa…

Soma Zaidi »

Hii ndio pawa ya CCM Namtumbo

SONGEA, Ruvuma: TOFAUTI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine vinavyowania ridhaa ya wananchi ni namna chama hicho kilivyoweka…

Soma Zaidi »

Nchimbi sasa kuwasha moto Njombe

NJOMBE : MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi ameanza rasmi kusaka kura za…

Soma Zaidi »

Wasira awaomba watanzania kumpa kura Dk Samia

SONGWE: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ametaja uwezo na juhudi inatosha kwa Watanzania kumchagua…

Soma Zaidi »

Mbambabay mguu sawa kumpokea Samia

NYASA, Ruvuma: WANANCHI wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wameonesha shauku ya kusikiliza sera za mgombea wa kiti cha rais…

Soma Zaidi »

Masoud afanya kampeni soko la darajani

UNGUJA, Zanzibar: MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Sept 20, 2025 amefanya matembezi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Ujenzi kiwanda cha meli uharakishwe -Zitto

KIGOMA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ujenzi wa cherezo (kiwanda)…

Soma Zaidi »
Back to top button