Chaguzi

‘Vyama viwape kipaumbele wenye ulemavu’

WADAU mbalimbali wa demokrasia wanakiri kuwa, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) mwaka huu imefanya juhudi kubwa kushirikisha watu…

Soma Zaidi »

Mgombea aahidi utatuaji uuzaji ardhi holela

ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Arusha, James Ole Millya amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo yaahidi serikali jumuishi Z’bar, mshahara mil 1/-

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema wananchi wakimchagua ataunda serikali jumuishi.…

Soma Zaidi »

CCM: Huwezi kumkwepa Samia

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kama Watanzania wanapiga kura za uchaguzi wa rais kwa kuzingatia matokeo, hakuna namna ya kutomchagua…

Soma Zaidi »

CCM yakosa upinzani majimbo saba Geita

GEITA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeweka wazi kuwa wagombea ubunge wa chama hicho kwenye majimbo saba ya uchaguzi…

Soma Zaidi »

Mgombea aahidi kutatua changamoto, maji barabara

MKINGA, Tanga: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewahidi wananchi wa eneo hilo…

Soma Zaidi »

Mgombea aahidi usimamizi bora fedha za serikali

ARUSHA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha, Joseph Issack maarufu kwa jina la ‘Kadogoo’ amesema atakapochaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi awasili Tanga mwendelezo wa kampeni

TANGA: Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk Emmanuel Nchimbi amewasili mkoani Tanga kuendelea na kampeni ya…

Soma Zaidi »

ASAS awahamasisha wana Kilolo kuweka rekodi Oktoba 29

Mratibu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM…

Soma Zaidi »

“Iungeni mkono CCM”

TANGA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rajab Abdulrahaman amesema kuwa maendeleo ni mchakato hivyo wananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button