Chaguzi

Wapania kumpeleka Baba Levo bungeni

KIGOMA: NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Taifa Kilumbe Ng’enda amesema wamejiandaa kuhakikisha mgombea ubunge wa Jimbo la…

Soma Zaidi »

Kipaumbele kikuu ni afya

ZANZIBAR: MGOMBEA Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama cha NCCR- Mageuzi, Laila Rajab Khamis ametaja afya kuwa…

Soma Zaidi »

Othman atwaa fomu ya urais Zanzibar

ZANZIBAR: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi (kulia) amemkabidhi fomu ya uteuzi mgombea wa…

Soma Zaidi »

Dk Samia azungumza na wananchi Chamwino

DODOMA: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa…

Soma Zaidi »

CUF, CHAUMMA kuzindua kampeni leo

DAR ES SALAAM: Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wanatarajia kuzindua kampeni za Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »

Dk Samia ataja mafanikio Gairo

GAIRO, Morogoro: MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi kifupi cha miaka minne…

Soma Zaidi »

Dk Nchimbi aanza ziara Mara

MARA; Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amewasili mkoani…

Soma Zaidi »

Balozi Nchimbi: Ushindi unakuja

MWANZA: MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kinatarajia kupata ushindi…

Soma Zaidi »

Zamu ya Morogoro leo

MOROGORO: Baada ya jana kuzindua kampeni za Uchaguzi Mkuu jijini Dar es Salaam, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Soma Zaidi »

Nchimbi awasili Mwanza kampeni uchaguzi mkuu

MGOMBEA mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya kampeni…

Soma Zaidi »
Back to top button