Diplomasia

Rais Samia apongezwa kwa kugusa mioyo ya wananchi wa Anjouan

COMORO: Gavana wa Anjouan, Dk Zaidou Youssouf ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Majaliwa amwakilisha Samia uapisho Rais Mteule Malawi

Soma Zaidi »

Ufaransa, Tanzania kushirikiana kilimo ikolojia

MOROGORO: SERIKALI ya Ufaransa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kilimo ikolojia kinachohifadhi ardhi na mazingira kwa lengo la kuongeza uzalishaji…

Soma Zaidi »

Tanzania, Kyrgyzstan kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje wa…

Soma Zaidi »

TZ, Japan kuimarisha biashara ya kaboni

DAR ES SALAAM: Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingara, Mhandisi Cyprian Luhemeja, leo amezindua Kamati ya…

Soma Zaidi »

Balozi Kombo ainadi Zanzibar jijini London

ENGLAND: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameinadi Dira ya Tanzania ya…

Soma Zaidi »

Dk Salem Al-Junaibi awasili nchini ziara ya kibiashara

TANZANIA: Mwenyekiti wa Chama cha Biashara na Viwanda cha Oman, Dk Salem Al-Junaibi na ujumbe wa wafanyabiashara wa Oman amewasili…

Soma Zaidi »

Waziri Kombo atua Arusha kushiriki mkutano 35 baraza la kisekta

ARUSHA: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Arusha na kuongoza…

Soma Zaidi »

Mpango amwakilisha Rais Samia mkutano EAC, SADC

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu…

Soma Zaidi »

Wakongomani wawe wamoja kutafuta amani ya kudumu DRC

JUHUDI mbalimbali za kuleta amani na utulivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaendelea katika sehemu mbalimbali za…

Soma Zaidi »
Back to top button