Siasa

Vijana watakiwa kuepuka mihemko na kulinda amani uchaguzi mkuu

ZANZIBAR : WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unatarajiwa kufanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, vijana wametakiwa kuepuka mihemko na badala yake…

Soma Zaidi »

Majaliwa, Kikwete kwenye ufungaji kampeni CCM

MWANZA; Waziri   Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) , akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete kwenye Uwanja…

Soma Zaidi »

Makundi maalumu kupewa kipaumbele upigaji kura

MANYARA: Makundi maalumu ya wazee, wajawazito na watu wenye mahitaji maalumu yamesisitizwa kupewa  kipaumbele katika zoezi la kupiga kura linaloendeleo…

Soma Zaidi »

Pazia kampeni lafungwa leo

MWANZA; VYAMA vya siasa vinahitimisha leo siku 60 za kampeni za Uchaguzi Mkuu ambazo zimetajwa kuandika historia kwa kuwa zenye…

Soma Zaidi »

Serikali ya NLD yaahidi mikopo bila riba

MGOMBEA urais kupitia chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amesema serikali ya chama hicho itatoa mikopo isiyo…

Soma Zaidi »

Jitokezeni kupiga kura – Bananga

DAR ES SALAAM: KATIBU wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amewataka wananchi kujitokeza…

Soma Zaidi »

Mgombea urais Makini aahidi pareto Kilimanjaro

KILIMANJARO; MGOMBEA urais kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde amesema serikali ya chama hicho itaanzisha kilimo cha pareto Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Wanaopiga kura Zanzibar leo watajwa

ZANZIBAR; BAADHI ya wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura ikiwa ni sehemu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

Kila la heri uhitimishaji kampeni, amani iendelee

LEO vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu nchini vinahitimisha rasmi kampeni zake, hatua muhimu inayoashiria ukomavu wa demokrasia ya…

Soma Zaidi »

Wanaopiga kura Zanzibar leo watajwa

BAADHI ya wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura ikiwa ni sehemu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Katika uchaguzi mkuu…

Soma Zaidi »
Back to top button