Dini

Mwinyi: Hakuna neema kubwa zaidi ya amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna neema kubwa zaidi…

Soma Zaidi »

Krismasi yamfungulia fursa Rasta

SIKUKUU ya Krismasi imeendelea kuwa chanzo cha fursa kwa wananchi, hususan wale wanaojishughulisha na huduma katika maeneo ya burudani. Wilayani…

Soma Zaidi »

Askofu Mlola:Tusiharibu tunu ya amani

WATANZANIA  wametakiwa kulinda na kutunza tunu ya taifa ya amani, umoja na mshikamano, pamoja na kujiepusha na mambo yanayoweza kusababisha…

Soma Zaidi »

Askofu Kassalla: Msivunje agano la amani

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassalla, ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya uungwana katika ushindani wa kisiasa…

Soma Zaidi »

Wakristo wasisitizwa kuishi kwa Upendo, Amani

WAUMINI katika makanisa mbalimbali Zanzibar wametakiwa kuenzi upendo, amani na maadili mema katika maisha yao ya kila siku kama maana…

Soma Zaidi »

Rais Samia:Krismasi itukumbushe upendo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakristo na Watanzania wote kuitumia Sikukuu ya Krismasi…

Soma Zaidi »

Papa Leo XIV kuongoza misa ya kwanza Krismasi

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, anatarajiwa kuongoza Misa yake ya kwanza ya Krismasi katika Basilika ya Mtakatifu…

Soma Zaidi »

Krismasi kuadhimishwa kitaifa Kigoma

IBADA ya mkesha wa Sikukuu ya Krismasi inafanyika kitaifa leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa…

Soma Zaidi »

Krismasi: Sikukuu ya upendo, matumaini mapya

TANZANIA inaungana na mataifa mengine duniani kufurahia Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa Desemba 25 kilamwaka, siku inayokumbusha kuzaliwa kwa Yesu Kristo,…

Soma Zaidi »

Chuki za kidini ni vita isiyo na mshindi wala ‘tiba’

BAADA ya Tanzania Bara wakati huo ikiitwa Tanganyika kupata uhuru katika miaka ya 1961, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere…

Soma Zaidi »
Back to top button