Dini

Kanisa laadhimisha miaka 42

Shincheonji Kanisa la Yesu, dhehebu linalokua kwa kasi nchini Korea Kusini, limeadhimisha miaka 42 ya kuanzishwa kwake. Ibada ya ukumbusho…

Soma Zaidi »

Idd kitaifa Dar, Samia mgeni kwenye Baraza

DAR ES SALAAM: SHEREHE za Sikukuu ya Eid el-Fitri zinatarajiwa kuwa  Machi 20 au 21. 2026 kutegemea mwandamo wa mwezi.…

Soma Zaidi »

Monaban ateuliwa msaidizi wa askofu mkuu KKAM

ARUSHA: KANISA la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemuingiza kazini Askofu Dk, Philemon Mollel maarufu kwajina la Monaban kuwa msaidizi wa…

Soma Zaidi »

Mashindano Quran yameipa heshima Tanzania

MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Dk Abubakar Zubeir, amesema mashindano ya kimataifa ya Quran Tukufu yanayoandaliwa na Taasisi ya…

Soma Zaidi »

Kardinali Pengo kuagwa leo Dar

MWILI wa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (81) unaagwa leo…

Soma Zaidi »

CCM: Pengo atakumbukwa kwa faraja, tumaini

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali…

Soma Zaidi »

Kadinali Pengo alikuwa zaidi ya kiongozi wa Kanisa

DAR ES SALAAM; Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo aliyefariki dunia jana Februari 19, 2026, alikuwa zaidi ya kiongozi wa Kanisa; alikuwa…

Soma Zaidi »

Nchimbi awakumbusha viongozi wa dini wajibu kuombea taifa

MAKAMU wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea taifa kama ambavyo…

Soma Zaidi »

Msikiti wenye miaka 700 Kilwa utaleta fedha utalii

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka nguvu kwenye maeneo ya utalii wa kihistoria ya kidini…

Soma Zaidi »

Tanzania iweke maeneo ya kihistoria ya Papa Leo XIV

DODOMA; Spika wa Bunge. Mussa Zungu amesema kuna haja serikali ikaweka maeneo ya kihistoria Tanzania, ambayo Kiongozi wa Kanisa Katoliki…

Soma Zaidi »
Back to top button