Dini

Askofu: Tukatae rushwa Uchaguzi Mkuu

TANGA : KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki limetoa wito kwa wananchi kukataa rushwa za…

Soma Zaidi »

Bakwata: Tambueni thamani ya kura zenu

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Shekhe Alhaj Nuru Mruma, amewataka Watanzania kutambua thamani…

Soma Zaidi »

45 wafanyiwa upasuaji kambi ya Imamu Hussein

DAR ES SALAAM; WANANCHI 45 waliokutwa na tatizo la mtoto wa jicho kwenye kambi ya matibabu ya Imamu Hussein (AS)…

Soma Zaidi »

Tamasha nyimbo za dini kubadili vijana kimaadili

TAMASHA la uimbaji wa nyimbo za dini kwa vijana kutoka Makao Makuu ya Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria…

Soma Zaidi »

Askofu Mwela ataka uadilifu watumishi wa umma

MBEYA;  ASKOFU Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini, John Mwela amewataka watumishi wa umma kuzingatia…

Soma Zaidi »

Pengo: Wazazi msizuie ndoto za watoto

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ametoa mwito kwa wazazi wasiwe…

Soma Zaidi »

Rais Samia achangia ujenzi wa Kanisa Maswa

SIMIYU; RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa…

Soma Zaidi »

Rolinga apiga jeki wenye ulemavu

DAR ES SALAAM: KATIKA kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Nabii Samwel Samson Rolinga, maarufu kama SS Rolinga, ametoa msaada wa…

Soma Zaidi »

Hifadhi ya Saadani na maajabu sanamu ya Bikira Maria

PWANI; Sanamu ya Bikira Maria (Mariam), anayesemwa katika vitabu vitakatifu vya Biblia Takatifu na Kurani Tukufu kuwa ni Mama wa…

Soma Zaidi »

Ruwa’ich akemea kutegemea sangoma badala ya Mungu

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limekemea watu wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji na sehemu zisizofaa kutafuta ufumbuzi…

Soma Zaidi »
Back to top button