Dodoma

Samia amsifu Ndugai umahiri, ukomavu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai alikuwa kiongozi mahiri. Rais Samia alisema hayo wakati wa…

Soma Zaidi »

Sangweni: Mfungamano gesi asilia, kilimo utaongeza tija

DODOMA: ENDAPO sekta za gesi asilia na kilimo zitafungamanishwa vema zitaongeza tija katika uchumi kwani zinategemeana. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Serikali Mtandao wapongezwa kuchangia mapinduzi kilimo

DODOMA; Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Athumani Kilundumya, ameipongeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuchangia mapinduzi katika sekta ya…

Soma Zaidi »

TARURA yajenga madaraja 439 ya mawe, yaokoa Sh bilioni 75

‎‎DODOMA; WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439…

Soma Zaidi »

Samia ashiriki maadhimisho siku ya mashujaa

Soma Zaidi »

SBL yakabidhi mradi wa maji Kondoa utakaonufaisha wakazi 14,000

KONDOA, DODOMA: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement Initiative (Africai), imekamilisha na kuzindua…

Soma Zaidi »

Masauni ataka elimu zaidi usimamizi mazingira

DODOMA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Baraza la Taifa la…

Soma Zaidi »

Katibu Mtendaji Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la…

Soma Zaidi »

Waziri Simbachawene ahimiza weledi miradi ya umma

DAR ES SALAAM; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amezihimiza…

Soma Zaidi »

Simbachawene ashauri uwekezaji vituo vya mafuta vijijini

DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ameishauri Wizara ya…

Soma Zaidi »
Back to top button