Fursa

NMB,Itilima waboresha utoaji mikopo ya asilimia 10

SIMIYU: Benki ya NMB kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imeendelea kutekeleza mfumo mpya wa utolewaji…

Soma Zaidi »

Wananchi Mbulu wapokea mikopo ya 10% na pikipiki

MANYARA: WANANCHI wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamenufaika na mikopo isiyo na riba ya asilimia 10 ya halmashauri, pamoja…

Soma Zaidi »

Dk Samia kuwasili Manyara Oktoba 3,2025

‎MANYARA: Wananchi mkoani Manyara wamehimiza kujitokeza kwa wingi Oktoba 3, 2025 kumpokea mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Dk…

Soma Zaidi »

Shirika FiSCh lawa kimbilio watoto wa mitaani

IRINGA: SHEREHE za kutimiza miaka 18 ya Taasisi ya FiSCh leo zimegeuka kuwa chemchemi ya matumaini na mshikamano, huku mamia…

Soma Zaidi »

Taasisi yatoa mil 150/- kuinua vijana Arusha

ARUSHA: TAASISI ya Nasimama na Mama Tanzania (TNMT) imetenga zaidi ya Sh milioni 150 kwa ajili ya kuwainuwa kiuchumi vijana…

Soma Zaidi »

Wajasiriamali wapewa mafunzo ubora wa masoko

ARUSHA: ZAIDI ya wajasiriamali 300 wa matunda na mbogamboga kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Arusha wamepatiwa mafunzo salama, ubora, masoko…

Soma Zaidi »

RC Mtanda: Miradi ya Trilioni 5.6 yatekelezwa Mwanza

MWANZA : WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kitaifa la ufuatiliaji, tathmini na kujifunza, litakalofanyika…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara tumieni fursa za uchaguzi

DODOMA : WAJASIRIAMALI wametakiwa kujipanga kufanya biashara wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwenye maeneo yao ili wajiinue kiuchumi.

Soma Zaidi »

Machinga wampongeza Rais Samia bil 200/- za mikopo

KIGOMA: SHIRIKISHO la Umoja wa Wafanyabiashara Ndogondogo Wamachinga (SHIUMA) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ahadi ya kutenga kiasi cha…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Mipango wajifunza fursa za kujiajiri

DODOMA: Wanafunzi kutoka Chuo cha Mipango ya Maendeleo ya Vijijini Dodoma walitembelea banda la Heifer International Tanzania katika Maonesho ya…

Soma Zaidi »
Back to top button