Kanda

Makamu wa Rais kufungua tawi la CRDB Buhigwe

Soma Zaidi »

Serikali yawanyooshea vidole wanaoleta taharuki

SERIKALI imeonya vikundi, makundi ya watu pamoja na vyama vya siasa vitakavyoendesha kampeni za uchochezi, matumizi ya lugha za matusi…

Soma Zaidi »

GGML yafadhili kuimarisha usalama barabarani Geita

KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa ufadhili wa programu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa maofisa usafirishaji…

Soma Zaidi »

Askari 4 mbaroni tuhuma mauaji ya mkulima Geita

JESHI la Polisi mkoa wa Geita linawashikilia askari wanne wa Jeshi la Uhifadhi kwa tuhuma za mauaji ya mkulima na…

Soma Zaidi »

Aweso ataka mikoa ‘kuwatumbua’ wakandarasi miradi ya maji

WAZIRI wa maji Jumaa Aweso amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kwa karibu miradi ya maji…

Soma Zaidi »

Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa zahanati hatiani kwa kughushi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara katika shauri la uhujumu uchumi Na. 15921/2025) imemtia hatiani mshtakiwa, MOHAMED TWALIB BAYA…

Soma Zaidi »

Sirro: Majambazi ‘yamenibipu’, nitayapigia

MKUU wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amesema atawapigia wahalifu waliombipu. Sirro amesema amekasirishwa na kitendo cha kuteka magari kilichotokea…

Soma Zaidi »

Halmashauri ya Mji Handeni yatoa mikopo mil 588/-

Halmashauri ya Mji Handeni imetoa Sh Milioni 588 kwa vikundi 109 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu kwa kipindi…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuwekeza kwa nguvu katika miundombinu ya usafiri kwa lengo la kukuza biashara…

Soma Zaidi »

Tanzania, Uganda zasaini makubaliano kuinua sekta ya mafuta na gesi

Ushirikiano baina ya PURA, ZPRA na PAU unatarajiwa kuinua sekta ya mafuta na gesi

Soma Zaidi »
Back to top button