Kanda

Serikali yachukua hatua za kiusalama mgodi wa Msasa-Geita

SERIKALI imeweka wazi kuwa tayari imechukua hatua madhubuti kuimarisha hali ya ulinzi na usalama katika mgodi wa Msasa-Runzewe wilayani Bukombe…

Soma Zaidi »

Mwigulu aagiza kituo huduma za dharura uokozi Mwanza iwe saa 24

WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa watendaji wa Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda – Mwanza,…

Soma Zaidi »

Waziri Mlkuu awasili Mwanza kwa ziara ya kikazi

WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Waziri…

Soma Zaidi »

Diwani Geita atangaza oparesheni watoto wasioripoti shule

DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa oparesheni maalum kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Wananchi Mirerani wakosa maji siku saba, bei yapaa

WAKAZI wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wako katika hali mbaya kwa zaidi ya siku saba baada…

Soma Zaidi »

Nzilanyingi kushughulikia kero za mafuriko

MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi, amefanya ziara katika Kata ta Mirongo kusikiliza kero za wananchi, akaelezwa…

Soma Zaidi »

Kundo atoa siku 60 mtandao wa mabomba Serengeti kukamilika

NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea mradi wa maji wa miji 28 wilayani Serengeti na kuagiza ndani ya…

Soma Zaidi »

Serikali kujenga kiwanda cha chakula cha samaki Mwanza

SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo

Soma Zaidi »

Manispaa Geita yawahakikishia usalama wahitaji shuleni

HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imeweka wazi kuwa imejipanga kikamilifu kuhakikisha kila shule inakuwa na miundombinu rafiki kwa watoto ambao…

Soma Zaidi »
Back to top button