Waziri Mlkuu awasili Mwanza kwa ziara ya kikazi

WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, leo Januari 23, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea Kituo cha Kuratibu Utafutaji na Uokozi cha Kikanda, kukagua Meli ya Ambulance, kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Kusukuma na Kuhifadhi Maji, pamoja na kuzindua Meli ya MV Mwanza.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button