Tanzania

Rais Samia amesikia kilio maaofisa usafirishaji – Mpogolo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imepunguza gharama za leseni kwa maofisa usafirisha wa bodaboda, bajaji na guta zinazotumia umeme katika bajeti…

Soma Zaidi »

Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuwekeza kwa nguvu katika miundombinu ya usafiri kwa lengo la kukuza biashara…

Soma Zaidi »

Tanesco yawakumbushia madeni malipo kabla, baada

DAR ES SALAAM: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataka wateja wao kulipa madeni ya malipo ya kabla na baada ili…

Soma Zaidi »

Marobota ya pamba yaondolewa VAT

SERIKALI imesema marobota yote ya pamba yatakayonunuliwa kutoka kwa wakulima na kuuzwa ndani ya nchi hayatatozwa kodi ya Ongezeko la…

Soma Zaidi »

Samia atoa maagizo mazito Simiyu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujio wa shule za amali pamoja na ufundi zenye michepuo ya ufundi, kilimo, muziki na…

Soma Zaidi »

Tanzania, Uganda zasaini makubaliano kuinua sekta ya mafuta na gesi

Ushirikiano baina ya PURA, ZPRA na PAU unatarajiwa kuinua sekta ya mafuta na gesi

Soma Zaidi »

Nduli yaamka: Viongozi wafundwa kutetea haki na kukemea ukatili

IRINGA: Katika hatua ya kuijenga jamii inayozingatia haki, amani na utawala wa sheria, viongozi wa Kata ya Nduli, mjini Iringa…

Soma Zaidi »

Zaidi ya bil 107/- zapeleka umeme vijiji vyote Simiyu

SIMIYU: Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani Sh bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye…

Soma Zaidi »

Vijiji vyote 109 Meatu vina umeme

SIMIYU: RAIS Samia Suluhu Hassani amesema Serikali imeendelea kupeleka maendeleo wilayani Meatu ikiwemo ukamilishaji wa usambazaji umeme katika vijiji vyote…

Soma Zaidi »

REA kufikisha umeme maeneo mengi Njombe

NJOMBE: MWENYEKITI Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza…

Soma Zaidi »
Back to top button