Tanzania

Wazee Tanga waasa vijana

Wazee jijini Tanga wamewashauri vijana kuacha mihemko katika maamuzi badala yake wasikilize ushauri wa watu waliowazidi umri ambao wana ukomavu…

Soma Zaidi »

Wella : Mradi wa Kiloleni ukamilike Desemba

MKUU wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amewaagiza wasimamizi wa mradi wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Shule ya…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

  Kiti cha urais Meaning (English):“Kiti cha urais” means “the presidential seat/office”. It refers to the position, authority, or role…

Soma Zaidi »

Mzumbe yashauriwa kujipanga kimataifa elimu ya juu

CHUO Kikuu Mzumbe (MU) kilichopo mkoani Morogoro kimeshauriwa kuimarisha uhusiano na mashirikiano kimataifa ili kiweze kupata wanafunzi kutoka nje ya…

Soma Zaidi »

Machumu ateuliwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Bakari Steven Machumu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 93 wa vurugu za uchaguzi wafikishwa mahakamani Mwanza

KESI inayowakabili watuhumiwa 93 kati ya 172 wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya uhalifu yaliyotokea wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba…

Soma Zaidi »

Yaliyojiri Mkutano wa Kwanza Bunge la 13

WIKI iliyopita, naweza kusema ilikuwa Wiki ya Bunge la 13 tangu Novemba 8 hadi 14, 2025. Katika kipindi hicho, wabunge…

Soma Zaidi »

Kumekucha maonesho ya vitabu Dar

DAR ES SALAAM :JAMII imehimizwa kusoma vitabu ili kutunza fikra,kuhifadhi maarifa ya kitaifa pamoja na kutambua hadhi ya waandishi wa…

Soma Zaidi »

Aweso ahimiza matokeo Sekta ya Maji

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Sekta ya Maji nchini kuthibitisha imani ya Rais wa Dk Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Rais Samia aunda Tume Huru kuchunguza vurugu za uchaguzi

RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada…

Soma Zaidi »
Back to top button