Tanzania

Zaidi ya watu 300 kushiriki mkutano wa vijana

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya watu 300, wakiwemo vijana, viongozi wa Serikali, watunga sera, wataalamu wa afya, mashirika ya kiraia…

Soma Zaidi »

Mikopo ya asilimia kumi yazidi kuinua wananchi Bukoba

KAGERA: KATIBU Tawala wa Wilaya ya Bukoba, Proscovia Mwambi, amesema Manispaa ya Bukoba imetoa mikopo ya zaidi ya Sh milioni…

Soma Zaidi »

Serikali yaleta mapinduzi huduma za ardhi Mtwara

MTWARA: WANANCHI mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuanzisha huduma za ardhi kwa njia ya kidijitali, hatua inayowawezesha kupata hati miliki…

Soma Zaidi »

Wakulima watakiwa kuzingatia ubora wa korosho

MTWARA: Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dk. Benson Ndiege, amewataka wakulima wa korosho nchini kuzingatia taratibu sahihi za uvunaji na…

Soma Zaidi »

ESAMI kuimarisha tafiti kutatua changamoto za jamii

ARUSHA: KUIMARISHA tafiti za kitaaluma na kutumia matokeo yake kutatua changamoto zinazoikabili jamii ni miongoni mwa malengo ya Taasisi ya…

Soma Zaidi »

Shinyanga yazindua kampeni ya usafi

SHINYANGA: MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amezindua kampeni ya usafi wa mazingira kila Jumamosi, ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »

Masauni ataka ubunifu kukabili tabianchi

ARUSHA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amezitaka nchi za Afrika…

Soma Zaidi »

Elimu ya mbegu yatolewa Shinyanga

SHINYANGA: WAKULIMA mkoani Shinyanga wamepatiwa elimu kuhusu matumizi sahihi ya mbegu na pembejeo za kilimo kuelekea msimu wa kilimo, ikiwa…

Soma Zaidi »

TBS yasisitiza upimaji bidhaa za ujenzi

DAR ES SaLAAM: SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewasihi wahandisi na watumiaji wa bidhaa na malighafi za ujenzi kutumia huduma…

Soma Zaidi »

Dk Samia atekeleza ahadi, Tarsila apokea Mil 20/-

DAR ES SALAAM: BINTI aliyebuni na kutengeneza ndege nyuki (drone), Tarsila Mellita, amepokea Sh milioni 20 kutoka kwa Rais Dk…

Soma Zaidi »
Back to top button