Tanzania

Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump

SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya ziada kugharimia programu zilizokuwa zikifadhiliwa na serikali ya Marekani ili wananchi wasikose huduma zikiwemo za…

Soma Zaidi »

Bolt yaleta huduma ya kumsaidia dereva,abiria

DAR-ES-SALAAM : KAMPUNI ya Bolt imezindua rasmi kipengele cha “Trusted Contacts” jijini Dar es Salaam, ambacho kitawawezesha abiria na madereva…

Soma Zaidi »

Rais Samia “msiwaogope wapinzani”

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, amekitaka Chama cha Mapinduzi kutoruhusu kunyemelewa na kiburi cha kuwabeza wapinzani na kutoingiwa na pepo…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi: Hakikisheni CCM inashika dola

DODOMA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka wana-CCM kuhakikisha chama…

Soma Zaidi »

Wanafunzi waguswa na msaada wa kisheria Bukombe

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Ushirombo iliyopo wilayani Bukombe mkoa wa Geita wameeleza kuguswa na Kampeni ya Msaada wa Kisheria…

Soma Zaidi »

CCM yadhamiria kufanya uchaguzi wa uadilifu

DODOMA : KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama cha Mapinduzi, kimedhamiria kuwa uchaguzi ujao…

Soma Zaidi »

Samia, Mwinyi wamuomboleza Aga Khan IV

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha…

Soma Zaidi »

Sendiga ashiriki kilele siku ya sheria

Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Queen Sendiga ameshiriki katika kilele cha madhimisho ya siku ya sheria kwa mwaka 2025 Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Mikopo umiza yaripotiwa kuvunja ndoa Bukombe

BAADHI ya viongozi wa serikali za mitaa Kata ya Bulega Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamesema tatizo la…

Soma Zaidi »

Mvua yapoteza miundombinu ya wanafunzi kiyangu B

KUFUATIA mvua kubwa iliyonyesha Februari 3,2025 imesababisha maafa kwa baadhi ya maeneo ya manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara hususani…

Soma Zaidi »
Back to top button