Tanzania

Ulega atoa maagizo ujenzi barabara Bigwa -Kisaki

MOROGORO: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amemuagiza mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Bigwa–Kisaki (km 78) kuhakikisha anafanya matengenezo ya…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili

Proverb: Usipoziba ufa, utajenga ukuta. Meaning This proverb means that if you do not solve a small problem early, it…

Soma Zaidi »

CCM yaridhishwa na miradi ya elimu Kilolo

IRINGA: Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Shule Mpya…

Soma Zaidi »

Mbunge aongeza nguvu ujenzi wa nyumba ya watumishi

IRINGA: Ndoto ya kumalizika kwa ujenzi wa nyumba ya watumishi katika Kijiji cha Magunga, Kata ya Maboga, Jimbo la Kalenga…

Soma Zaidi »

Programu za ualimu wa amali kukabili uhaba wa walimu

MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimezindua programu mpya za Shahada ya Sayansi ya Ualimu katika mkondo wa…

Soma Zaidi »

Sherehe za Kiswahili zafana Algeria

BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema lugha ya Kiswahili inaendelea kukua duniani, ikiwa sasa inazungumzwa na zaidi…

Soma Zaidi »

Wadau wajadili mwelekeo wa Tanzania kwenye utalii

ARUSHA: Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii katika Destination Tanzania Stakeholders Forum 2026 iliyofanyika…

Soma Zaidi »

THRDC yazindua kampeni ya kitaifa kukuza uzingatiaji wa katiba

DAR ES SALAAM: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Umoja wa Wanasheria wa Afrika…

Soma Zaidi »

Massana Mwishawa aichukua rasmi hatamu TANAPA

ARUSHA: Uongozi mpya ndani ya Shirika kongwe la uhifadhi nchini umechukua hatamu rasmi baada ya aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi –…

Soma Zaidi »

Serikali yaanza kutoa mikopo mfuko wa maendeleo ya vijana

ARUSHA; SERIKALI imeanza rasmi kutoa mikopo kupitia Programu ya Sh bilioni 200 chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, huku…

Soma Zaidi »
Back to top button