Utalii

Chana ataka watumishi wabunifu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kutekeleza…

Soma Zaidi »

TFS yaanza kutangaza utalii Ziwa Duluti

WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS)imeanza kutangaza vivutio vyake vya utalii ndani ya misitu ikiwemo utalii wa Ziwa Duluti ili kuhakikisha…

Soma Zaidi »

Ziwa Duluti lakusanya mil 400/-

ZAIDI ya Sh milioni 400 zimekusanywa katika Hifadhi ya Msitu wa Asili wa Ziwa Duluti ikiwa ni mapato yaliyotokana watalii…

Soma Zaidi »

Chana akutana na mkurugenzi wa Ujerumani

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ujerumani ukiongozwa na Mkurugenzi anayeshughulikia…

Soma Zaidi »

NCAA waja na mbinu mpya kuvutia watalii

KATIKA kuhakikisha wanavuka malengo ya watalii wa ndani Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imekuja na mbinu mpya ya kuwavutia…

Soma Zaidi »

TFS watakiwa kuimarisha misitu kuvutia watalii

WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS) wametakiwa kuimarisha utalii wa misitu Ikolojia kwa kuvilinda na kuviendeleza vivutio hivyo ili kuendelea kuvutia…

Soma Zaidi »

Chana akabidhi malori, mitambo kuboresha uhifadhi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »

Chana azindua bodi chuo cha Mweka

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amezindua rasmi Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori…

Soma Zaidi »

Prof Mkenda: Ujuzi nyenzo muhimu sekta ya utalii

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni muhimu kuunganisha taaluma na viwanda katika sekta ya utalii…

Soma Zaidi »

 Chana aipongeza TBB kutangaza vivutio vya utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio…

Soma Zaidi »
Back to top button