CCM yatoa maelekezo kwa watumishi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, kimeielekeza serikali mkoani hapa kuhakikisha watumishi wote wanaishi kwenye vituo vyao vya kazi, badala ya  kukaa nje ya  vituo hivyo, kwani wanawakosesha wananchi kupata huduma bora kwa wakati.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahman wakati wa ziara yake ya kukagua shule shikizi iliyopo katika Kijiji cha Tundauwa, Kata ya Kirare jijini Tanga.

Amesema Ilani ya chama hicho inaelekeza serikali kuhakikisha inasogeza na kutoa huduma bora kwa wananchi wote,hivyo ni wajibu wa watumishi kuishi katika maeneo ya karibu na vituo vyao vya kazi.

“Naielekeza Serikali ya Mkoa wa Tanga kuhakikisha watumishi wote ambao wanaoishi nje ya vituo vyao vya kazi kuhamia kwenye vituo vyao, ili wananchi waweze kupata huduma bora kwa wakati bila ya usumbufu,”amesema Mwenyekiti huyo.

Amesema kwa Mmkoa wa Tanga ni muhimu Kila mtumishi aweze kuishi karibu na kituo chake cha kazi, ili kuongeza ufanisi na kuokoa rasilimali zilizopo kutumika vibaya.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
trackback
1 month ago

[…] mins ago01 mins Home/Siasa/CCM yatoa maelekezo kwa watumishi Na Amina Omari, MuhezaJuly 27, […]

SharoBates
SharoBates

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://webonline76.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by SharoBates
Christy R. Miller
Christy R. Miller
Reply to  SharoBates
1 month ago

I am making really good money (80$ to 100$ / hr. )online from my laptop. I was greatly surprised at the same time as my neighbour advised me she changed into averaging $100 however I see the way it works now. sd370 I experience mass freedom now that I’m my non-public boss.
Everybody should start earning money online by
.
.
using this website____ https://Fastinccome.blogspot.Com/

Last edited 1 month ago by Christy R. Miller
gajigif330
gajigif330
Reply to  SharoBates
1 month ago

Making an extra $15,000 per month from home by doing easy copy and paste type internet work. I earned $18,000 from this simple at-home job. Everyone may now easily generate additional money online working
.
.

Detail Here———————> >> https://newjobshiring.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by gajigif330
jedites
1 month ago

My last month paycheck was for 11000 dollars… All i did was simple online work from comfort at home for 3-4 hours/day that I got from this agency I discovered over the internet and they paid me for it 95 bucks every hour…..>
 https://www.pay.salary49.com

trackback
1 month ago

[…] Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe […]

Back to top button
6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x