Chama: Tutapambana kuwafunga Power Dynamos

“Tutapambana sisi ni timu kubwa” maneno ya kiungo wa Simba SC, Clatous Chama akizungumza kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos.

Chama amezungumza hayo akiwa katika Uwanja wa Bunju Dar es Salaam alipofanya mahojiano na Simba TV.

Ameongeza kuwa: “ Tumecheza nao mara mbili Simba Day, Sisi sote tupo tayari kwa ajili ya kupambana.”

Advertisement

  1. Simba na Power Dynamos wakacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi hii.
3 comments

Comments are closed.