DAR-ES-SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amempongeza Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz kwa kuwafikisha watanzania viwango vya Dunia kiburudani.
Hii imekuja baada ya kuachia kibao chake cha Komasava Remex alichomshirikisha Jason Derulo,Khalilharison na Chley Nkosi
Msigwa ameandika “Tumetangaza nchi, tumenadi utalii ,tumetangaza lugha yetu ya kiswahili,tumewapaisha wanamuziki wa Tanzania,Tumeionesha Dunia ukarimu na ucha Mungu”amesema Msigwa.
SOMA: Diamond aongoza kupokea mkwanja mrefu