Dk Biteko ajiandikisha uchaguzi mitaa

NAIBU Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukombe, Dk Dotto Biteko Ijumaa ya Oktoba 11, 2024 ameshiriki zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi kituo cha Bulangwa mjini Ushirombo wilayani Bukombe.

NAIBU Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukombe, Dk Dotto Biteko akiwa kwenye foleni kujiandikisha katika daftari la mkazi kituo cha Bulangwa mjini Ushirombo wilayani Bukombe.

Advertisement

NAIBU Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukombe, Dk Dotto Biteko akisubiri kujiandikisha katika daftari la mkazi kituo cha Bulangwa mjini Ushirombo wilayani Bukombe.

NAIBU Waziri Mkuu, Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukombe, Dk Dotto Biteko akiwa kwenye foleni kujiandikisha katika daftari la mkazi kituo cha Bulangwa mjini Ushirombo wilayani Bukombe.