NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko akishiriki UDSM Marathon iliyoandaliwa kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya nne na Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Jakaya Kikwete na kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa William Anangisye.(Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)