Dk Kikwete banda la TRA sabasaba

RaIS mstaafu, Dk Jakaya Kikwete akiagana na ofisa msaidizi msamimizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Shaga Gagunda.

Dk Kikwete alitembelea kliniki ya biashara iliyoandaliwa na mamlaka hiyo na kuzungumza na maofisa wa Mamlaka hiyo wanaoshiriki maonesho ya 47 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button