Dk Natu aapishwa

Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk Natu El-Maamry Mwamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mjini Dodoma leo Januari 9, 2023.

Habari Zifananazo

Back to top button