DK Nchimbi aapishwa kuwa Makamu wa Rais

DODOMA; Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju akimuapisha Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 3, 2025.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button