EAC yaitaka DRC kuzungumza na wadau kumaliza mapigano

ARUSHA : JUMUIYA ya Afrika Mashariki imeitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzungumza na wadau wote wakiwemo wapiganaji wanaoungwa mkono na Rwanda, ili kumaliza mapigano katika eneo la mashariki mwa nchi.

Katika mkutano kwa njia ya video, viongozi wa nchi za jumuia hiyo wametoa wito wa wa kumaliza mzozo kwa njia ya amani , na kuiomba kwa dhati serikali ya DRC kuanzisha mazungumzo ya moja kwa moja na wadau wote, ikiwemo kundi la M23 na makundi mengine yenye silaha ambayo yana malalamiko,” ilisema taarifa ya viongozi hao.

SOMA: CONGO : Rais Tshisekedi asisitiza mapigano dhidi ya M23

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button