Gambo arudi tena, atwaa fomu ubunge Arusha Mjini

ARUSHA: IKIWA leo ni siku ya pili ya zoezi la uchukuaji wa fomu za kuwania ubunge na udiwani, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo amechuku fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge.

Gambo amekabithiwa fomu yake ofisi ya chama Wilaya ya Arusha na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, Timothy Sanga.

Gambo amesisitiza anataka maendeleo na kusimamia miradi mbalimbali ya jiji hilo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button