Hii hapa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025-2030

DODOMA: WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa wameipitisha na kuizindua rasmi Ilani ya utekelezaji ya CCM ya mwaka 2025 – 2030 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete leo jijini Dodoma.
Bonyeza hapa: CCM-ILANI-POPULAR VERSION_040525_FINAL_compressed
Endelea kuisoma Ilani kwa kubonyeza hapa: https://habarileo.co.tz/wp-content/uploads/2025/05/CCM_ILANI_Comprehensive.pdf



