HT: Simba SC mambo magumu

HALI inazidi kuwa mbaya kwa upande wa Simba SC, mpaka sasa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC umeenda mapumziko Simba SC ikiwa nyuma bao 1-0.

Bao la Namungo limefungwa na Reliants Lusajo dakika ya 29.

Tuendelee kuwa pamoja.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button