Home/Featured/Hundi ya mil 63.8/-kusaidia kilimo biashara Hundi ya mil 63.8/-kusaidia kilimo biashara Na Ikulu MawasilianoAugust 20, 2024 Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano hundi ya Shilingi milioni 63.8 kutoka Asasi ya Sekta Binafsi inayojishughulisha na kuendeleza sekta ya Horticultural Tanzania (TAHA) kwa ajili ya kuunga mkono shughuli za kilimo biashara kwenye hafla ya kufunga mafunzo ya Tamasha la Kizimkazi iliyofanyika katika uwanja wa Mwehe Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024. Na Ikulu MawasilianoAugust 20, 2024 Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe Sambaza Facebook Twitter LinkedIn Pinterest WhatsApp Telegram Sambaza kupitia barua pepe Print