IAA yawainua vijana 8,600

ZAIDI ya vijana 8,600 wamefikiwa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kupitia programu za ujasiriamali na ubunifu, hatua iliyowezesha vijana 1,520 kubuni mawazo ya biashara na kuanzisha zaidi ya biashara 50, huku kampuni 12 zikisajiliwa rasmi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu miradi ya maendeleo na fursa za vijana kwa mwaka 2025/2026, Mkuu wa chuo hicho Prof. Eliamani Sedoyeka amesema mafanikio hayo yanatokana na kuimarishwa kwa Kiatamizi (Incubator)/IAA Business Start Up Centre kinachowawezesha wanafunzi kugeuza mawazo yao kuwa miradi halisi ya kibiashara.
Amesema kampuni zilizoanzishwa zimejikita katika sekta za biashara, teknolojia, sanaa na uhifadhi wa mazingira, na tayari zimeanza kutoa ajira kwa wahitimu na vijana wengine, hivyo kuchangia ukuaji wa uchumi. SOMA: Serikali yasaini mkataba ajira kwa vijana nje ya nchi
Prof. Sedoyeka ameongeza kuwa IAA ni miongoni mwa taasisi zilizonufaika na Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), unaolenga kuimarisha ubora wa elimu ya juu na kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza katika elimu na kuweka mazingira wezeshi kwa vijana kujiajiri na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya taifa.




I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
Here is I begun— http://www.giftpay7.vip
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com
I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website……….
HERE→→→→ http://Www.Work27.Info
Making money online more than $15k just by doing simple work from home. I have received $18376 last month. Its an easy and simple job to do and its earnings are much bmoney. Everybody etter than regular office job and even a little child can do this and earns must try this job by.
just use the info on this page ====> https://Www.PayAtHome1.Com