Jukwaa vijana Shinyanga lazinduliwa

SHINYANGA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dk Joel  Nanauka amezindua rasmi Jukwaa la Vijana la Mkoa wa Shinyanga litakalowakutanisha na kuwashirikisha vijana pamoja ili kujadili fursa za kiuchumi na namna wanavyoweza kuzitekeleza ili kuleta maendeleo.

Akizindua jukwaa hilo leo Februari 21, 2026, DkNanauka amesema jukwaa hili ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Vijana iliyoboreshwa ya Mwaka 2024 lakini pia linaendana na Maono ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 inayolenga kuwafanya vijana kuwa kitovu cha ubunifu ili kuwawezesha kiuchumi na kuleta maendeleo.

“Jukwaa hili linafungua ukurasa mpya wa uwezeshaji wa vijana kiuchumi kwa kuendana na Sera ya Maendeleo ya Vijana ya 2024 na maono ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ya kuwafanya vijana kuwa kitovu cha ubunifu na maendeleo,” amesema Dk Nanauka.

Aidha ameongeza kuwa kupitia jukwaa hili litaimarisha mawasiliano kati ya Serikali na Vijana pamoja na kutoa mikopo isiyo na riba ili kuwawezesha vijana kiuchumi huku akiwataka vijana kushiriki kikamili katika jukwaa hili na kuongeza ubunifu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema Serikali ya Mkoa inaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wajasiriamali vijana kwa kuendesha mazoezi mbalimbali kama vile kusajili wajasiriamali wadogo wadogo ambapo jumla ya wafanyabishara 2453 wamesajiliwa, pamoja na utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ambapo kwa mwaka 2025/2026 jumla ya shilingi bilioni 1 zimekopeshwa kwenye vikundi 98.

Aidha Mhita amewataka vijana kutumia jukwaa hili kuwa mwanzo wa mapinduzi ya kifikra kwa kujiimarisha kiuchumi na kujenga mitandao ya kibiashara na kubadilisha uzoefu kwa maendeleo endelevu.

Mhita amesema kwa kutambua vijana ni rasilimali muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, Mkoa wa Shinyanga kupitia halmashauri zake 6 umetenga maeneo maalumu kwa ajili ya kujenga viwanda vidogo vidogo vitakavyowainua vijana kiuchumi.

Ikumbukwe kuwa Januari 10, 2026 Jukwaa la Vijana lilizinduliwa rasmi mkoani Dar es Salaam na Shinyanga ni mkoa wa 3 kwa jukwaa la vijana kuzinduliwa ambapo kwa takwimu za sensa za mwaka 2022 inaonesha mkoa una jumla ya vijana 697,756.

Habari Zifananazo

12 Comments

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  1. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

  2. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao.

  3. Kwa urahisi weka, bila kifo cha Yesu msalabani kwa ajili ya dhambi zetu, hakuna mtu atakaye kuwa na uzima wa milele. Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima, mtu haji kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14: 6) Katika maneno haya, Yesu anasema sababu ya kuzaliwa, kifo na ufufuo wake — kutoa njia ya mbinguni kwa wanadamu wenye dhambi, ambao hawawezi kufika huko peke yao. ..

  4. Cash earning job to earns more than $700 per day. getting paid weekly more than $3500 or more simply doing easy work online. no special skills required for this job and regular earning from this are just awesome. all you need is 2 hrs a day for this job and earning are awesome. every person can get this by follow details here…

    THIS→→→→ https://Www.FindJobs1.Site

  5. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website……….

    HERE→→→→→→→→→ http://Www.Work27.Info

  6. Making money online more than $15k just by doing simple work from home. I have received $18376 last month. Its an easy and simple job to do and its earnings are much bmoney. Everybody etter than regular office job and even a little child can do this and earns must try this job by.
    just use the info on this page ====> https://Www.PayAtHome1.Com

  7. My income reached $17,620 last month, thanks to a flexible online job. It’s astonishing how easy it is to get started and see real results. I spend my mornings working and still have the whole day to relax. The extra money has made a big difference in my financial situation. It’s a fantastic way to boost your income without overworking yourself..

    Visit This…… w­­w­­w­­.t­­o­­d­­a­­y­­.­­e­­a­­r­­n­­5­­4­­.c­­o­­m

  8. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she kaz convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website

    HERE————— http://www.giftpay7.vip

  9. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website……….

    HERE→→→→→→→→→ http://Www.Work27.Info

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button