Kadogoo aiomba Serikali kutatua kero ya tembo Mswakini

ARUSHA: Mbunge wa Jimbo la Monduli, Aisack Joseph maarufu ‘Kadogoo’ amemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Ashatu Kijaji kuingalia kwa jicho la pekee Kata ya Mswakini inayokabiliwa na changamoto ya wanyamapori wakiwemo tembo kuharibu miundombinu ya maji.

Mbunge huyo amesema hayo katika Kata ya Mswakini wakati wa ziara yake ya kuzungumza na wananchi ambapo wananchi hao walidai tembo wanaopita eneo hilo kwenda Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Ngorongoro kuharibu miundombinu ya maji kutokana na bwawa la Nguvu Kazi kujaa tope na kupelekea wanyamapori hao pamoja na mifugo kukosa maji.

Amesema eneo la kata hiyo imepakana na korido ya wanyamapori wanaopita kwenda pia maeneo ya Engaruka lakini kutokana na changamoto ya bwawa hilo kujaa maji wananyapori huharibu mazao ya wananchi na miundombinu ya kisima cha maji kwa kuvunja mabomba.

“Nimepokea kero hii la bwawa la maji kurekebishwa na kuondolewa matope ili wanyamapori wasiharibu miundombinu ya maji hivyo ntawasiliana na waziri husika ili tutatue changamoto hii ili kuzuia wanyama hawa kutoharibu miundombinu ya maji maeneo mengine ya vijiji”

Naye, Diwani wa Kata hiyo Charles Edward ameomba bwawa hilo kutolewa matope ili kuzuia wanyamapori kutoharibu miundombinu ya maji katika kisima cha Naitolia, Laloiboni na Loimarai.

Habari Zifananazo

2 Comments

  1. OMT’s mindfulness methods lower math anxiousness, permitting authentic affection tⲟ
    expand ɑnd inspire exam excellence.

    Experience versatile learning anytime, ɑnywhere thгough OMT’s thoroᥙgh online e-learning platform,
    including unrestricted access tօ video lessons ɑnd interactive tests.

    In a ѕystem where mathematics education һas
    evolved to foster development аnd worldwide competitiveness, enrollng іn math
    tuition еnsures trainees stay ahead Ьy deepening their understanding ɑnd
    application оf crucial ideas.

    Enrolling in primary school school math tuition early fosters ѕеlf-confidence,
    minimizing anxiety fоr PSLE takers ѡho deal ᴡith һigh-stakes concerns ᧐n speed, distance, аnd time.

    In Singapore’ѕ competitive education landscape,
    secondary math tuition supplies tһe additional side required
    tⲟ stand apаrt in O Level rankings.

    Wіth Ꭺ Levels demanding efficiency in vectors
    аnd complex numƄers, math tuition supplies targeted practice t᧐
    manage these abstract concepts effectively.

    Ꮤhat makes OMT exceptional iѕ itѕ exclusive curriculum tһat aligns with MOE while presentіng aesthetic
    һelp like bar modeling іn innovative mеans fօr primary students.

    Endless accessibility t᧐ worksheets suggests үоu
    practice untіl shiok, improving your math confidence ɑnd grades quіckly.

    In Singapore, wһere mathematics efficiency օpens uρ doors tο STEM professions, tuition іѕ іmportant for solid test structures.

    Ηere is my homeρage maths tutor suspended

  2. Hi there, There’s no doubt that your blog
    could be having web browser compatibility issues.
    When I look at your site in Safari, it looks fine however, if opening in I.E.,
    it has some overlapping issues. I merely wanted
    to give you a quick heads up! Apart from that, excellent
    website!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button