Kamati yaitaka WMA kuhakiki mita za umeme

Pwani; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita za umeme zinahakikiwa kikamilifu kabla ya kufungwa kwa ajili ya matumizi, kwa kuzingatia sheria zilizopo ili kulinda haki za watumiaji.

Aidha, Kamati hiyo imeipongeza WMA kwa jitihada za uhakiki na ukaguzi wa vipimo mbalimbali, ikiwemo mita za maji, huku ikiitaka Wakala huyo kuendelea kusimamia kwa ukaribu vipimo katika sekta ya ujenzi ili kupunguza malalamiko ya wananchi yanayotokana na bidhaa hizo.

Hayo yameelezwa leo Machi 14, 2026, na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deodatus Mwanyika, wakati wa ziara ya kikazi katika Kituo cha WMA cha Uhakiki wa Vipimo Misugusugu mkoani Pwani kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo na kujionea shughuli za uhakiki wa vipimo zinavyotekelezwa kituoni hapo.

Akizungumza katika ziara hiyo, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,  Dennis Londo, aliihakikishia kamati kuwa wizara itatekeleza maelekezo yote yaliyotolewa.

Alisisitiza kuwa azma ya serikali ni kuhakikisha WMA inasimamia matumizi ya vipimo sahihi katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa mbalimbali, pamoja na uhakiki wa mita za umeme na maji, ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha,  Nickson Simon, akitoa salamu kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alibainisha kuwa uhakiki wa vipimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa huo.

Alieleza kuwa kwa sasa Mkoa wa Pwani una jumla ya viwanda 1,688, vikiwemo viwanda vikubwa 199 na vidogo sana 1,017, hivyo uhakiki wa usahihi wa Vipimo ni nyenzo muhimu katika kuvutia uwekezaji zaidi.

Naye Ofisa Mtendaji Mkuu wa WMA,  Alban Kihulla, alisema kuwa ukaguzi na uhakiki wa vipimo una nafasi kubwa katika kuhakikisha haki na usawa baina ya pande mbili zinazofanya biashara.

Pia, aliwahimiza wananchi kuhakikisha wanatumia vipimo vilivyohakikiwa, huku akiwasihi watoa huduma kuzingatia uadilifu kwa kutoa huduma kupitia vipimo sahihi ili kuleta usawa na kuhakikisha bidhaa zinazonunuliwa zinaendana na thamani halisi ya fedha.-

Habari Zifananazo

7 Comments

  1. Many people in the United States and other parts of the world have lost their regular occupations. This was terrible, and I understand how you felt when you had no money left for your family. But I’m here to give a simple method that will fix all of your money issues right now. Working from home might earn you more than $15k each month simply by remaining at home. So, for further information, go to this website immediately and start earning right away………..

    GOOD LUCK. ==-…………………………….-=>>) https://earnsmartwithus.netlify.app/

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
      .
      This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

    2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
      .
      This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

    3. Google paid $200 a hour on the internet..my close relative has been without labor for nine months and the earlier month her compensation check was $51005 by working at home for 10 hours a day….. E­v­e­r­y­b­o­d­y m­u­s­t t­r­y t­h­i­s j­o­b n­o­w b­y j­u­s­t u­s­e ­t­h­i­s

      GOOD LUCK.:) http://www.giftpay7.vip

  2. Many people in the United States and other parts of the world have lost their regular occupations. This was terrible, and I understand how you felt when you had no money left for your family. But I’m here to give a simple method that will fix all of your money issues right now. Working from home might earn you more than $15k each month simply by remaining at home. So, for further information, go to this website immediately and start earning right away………..

    GOOD LUCK. ==-…………………………….-=>>) https://earnsmartwithus.netlify.app/

  3. Home earning solution for everyone to work online and received payments every week in bank acc. earns every day more than $500 and received payments every week directly in bank acc. My last month’s earning was $16390 and all i do is work for maximum 2 hrs a day on my pc. easy work and regular earning are awesome with ths job.

    This →→→→→w­­w­­w­­.­­w­­o­­r­­k­­2­­7­­.­­o­­n­­l­­i­­n­­e

  4. This gummies mushrooms felt like a huge balanced option. It wasn’t too morose and didn’t needy too far-off in the other direction either, which made it a expert pick on distinguishable parts of the day. The finest looked premium, nicely trimmed, and still keen instead of dry and crumbly. The flavor came through clean with a slightly sweet and earthy note that made it enjoyable all the feeling through. Unequivocally a work that feels in keeping and affectionately place together.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button