Kenya yashinda mara mbili Berlin Marathon

BERLIN: WANARIADHA wa Kenya wameibuka washindi katika mbio za 51 za Berlin Marathon kwa upande wa wanaume na wanawake, ingawa wameshindwa kuvunja rekodi ya dunia.
Mwanariadha Sabastian Sawe mwenye umri wa miaka 29 alishinda mbio za wanaume kwa muda wa saa 2:02:15, ikiwa ni miezi mitano tangu kushinda London Marathon. Kwa upande wa wanawake, Rosemary Wanjiru aliibuka mshindi baada ya kuongoza kuanzia kilomita ya 25. SOMA: ALPHONCE SIMBU: Avunja mwiko wa miaka 39 bila dhahabu
Ushindi huo umemfanya Wanjiru kuwa Mkenya wa kwanza kushinda Berlin Marathon kwa upande wa wanawake tangu mwaka 2018. Hata hivyo, hali ya hewa yenye unyevunyevu imeelezwa kuathiri kasi ya wanariadha na kuzuia kuvunjwa kwa rekodi ya dunia.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
I honestly didn’t expect much when I first tried this, but here I am making around 6,854/USD a month just by working online a few hours a day from home. It’s not a get-rich scheme, just something steady that’s been working for me quietly in the background. If you’ve been looking for something consistent like I was, here’s what I started with:
👉 https://www.jobs67.com