Khambay achukua fomu Babati Mjini

MANYARA: Mgombea wa ubunge Jimbo la Babati Mjini, Emmanuel Khambay achukua fomu ya kugombe ubunge katika jimbo hilo na kuwataka wanachama kuvunja makundi yaliyotengenezwa wakati wa kura za maoni.
Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini amesema kuwa makundi yaliundwa wakati wa uchaguzi wa kura za Maoni ikiwa kila mmoja Kati waliyo teuliwa na chama aliunda kundi lake hivyo kutaka makundi hayo kuvunjwa ili wawe wamoja kwenye kupeperusha bendera ya CCM.
“Makundi yote yale yaliyokuwa hayaniungi mkono nikawaida Katika chama wakati wa kura za maoni kila mtu anakuwa na imani yake kuna mtu anaimani na khambay kuna mtu anaimani na mwingine kwasababu sikwamba mimi ni bora kuliko wale wengine Mwenyezi Mungu ameamua itakuwa ni zamu yangu kupeperusha bendera ya chama chetu nakuwa muwakulishi wa wananchi wa Jimbo la Babati Mjini kwa hiyo wale ambao walikuwa hawaniungi mkono kwa sasa mimi nikiongozi wao”
Pia mgombe huyo ambaye amechukua nafasi ya Pauline Gekuli aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na akawa naibu waziri wa katiba na na sheria amesema sera yake kubwa nikukuza uchumi wa wananchi ili maendeleo yawe rahisi kuingia kwenye maeneo mbalimbali ya Mji wa Babati “Niahidi kwenda kufanya kwa mapana na weledi zaidi”
Last month, I earned $21683 from home by working online part-time. In my spare time, I am now a strong online earner from home. This online job is fantastic, and the regular profits are more than any other office job. Everyone should join this home job right now and start generating real money online by just following the instructions on this website….
Open This…. http://Www.CartBlinks.Com