Kivumbi hitimisho ligi ya UCL

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) hatua ya ligi inafikia tamati leo kwa michezo 18 kwenye viwanja tofauti.
Timu nane tayari zimefuzu hatua ya 16 bora huku nyingine nane zikitarajiwa kupatikana katika mechi hizo za mwisho.
Zilizofuzu tayari ni Liverpool, Barcelona, Arsenal, Inter, Atletico Madrid, AC Milan, Atalanta na Bayer Leverkusen.
Timu 16 zitalazimika kuchezo mtoano ili kupata nane zitakazoungana na zilizofuzu.
Mitanange inayopigwa leo ni kama ifuatavyo:
Aston Villa vs Celtic
Barcelona vs Atalanta
Bayer Leverkusen vs Sparta Prague
Bayern Munich vs Slovan Brastislava
Borussia Dortmund vs Shakhtar Donetsk
Brest vs Real Madrid
Dinamo Zagreb vs AC Milan
Girona vs Arsenal
Inter vs AS Monaco
Juventus vs Benfica
Lille vs Feyenoord
Manchester City vs Club Brugge
PSV Eindhoven vs Liverpool
RB Salzburg vs Atletico Madrid
Sporting CP vs Bologna
Sturm Graz vs RB Leipzig
VfB Stuttgart vs Paris Saint-Germain
Young Boys vs FK Crvena Zvezda



