Klopp achefukwa swali la Salah kuondoka

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amechukizwa na swali la mwandishi wa habari kuhusu Mohammed Salah kwenda Saudia.

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Wolves, Klopp hakufurahishwa na swali la mwandishi lililohoji mustakabali wa Salah.

“Unanitania sio? yeah huwezi kusubiri mpaka Disemba ukauliza swali lako?,” alihoji Klopp

Bado kuna tetesi kuwa huenda Salah akatimkia Saudia Arabia.

Habari Zifananazo

Back to top button