Kocha Yanga afukuzwa usiku

DAR ES SALAAM; MUDA mfupi baada ya Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika jioni hii nchini Malawi, klabu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz.

Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliajno ya Yanga iliyotolewa usiku huu, imesema timu hiyo sasa itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Patrick Mabedi raia wa Malawi, wakati mchakato wa kusaka Kocha Mkuu ukiendelea.

Habari Zifananazo

One Comment

  1. I am making a good s­al­ary from home $4580-$5240/week , which is amazing und­er a year ago I was jobless in a horrible economy. I thank God every day I was blessed with these instructions and now its my duty to pay it forward and share it with Everyone,Here is I started_______ https://cashprofit7.site

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button