RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amelitambulisha rasmi kombe ambalo atakabidhiwa bingwa wa michuano ya African Football League (AFL).
Motsepe ametambulisha kombe hilo mara baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita Dar es Salaam.
Kiongozi huyo leo atashuhudia mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo kati ya Simba SC na Al-Ahly uwanja wa Mkapa.
pharmacy
Jumapili kutakuwa na mchezo mwingine kati ya TP Mazambe na ES Tunis uwanjani hapo.