

Madereva wa daladala wakiwa wameegesha vyombo vyao ya usafiri barabarani bila kujali usalama wa abiria wao licha ya kuwepo na nafasi ya kutosha katika kituo cha Buguruni Sheli, Dar es Salaam Febrauri 3.(Picha na Venance Nestory)
Add a comment